Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

(JWTZ) Laendelea na Mazoezi kwa ajili ya Sept 1Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, jeshi hilo limeeleza kuwa litaadhimisha miaka 52 kwa kufanya usafi maeneo mbalimbali nchini.
Leo asubuhi zimeonekana ndege za JWTZ zikafanya mazoezi katika anga la jiji la Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 52.


Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment