Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

KRC Genk imelazimishwa sare na Lokomotiva ugenini, Samatta akipachika goli

Usiku wa August 18 2016 michezo ya Play offs ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya, moja kati ya michezo ya Europa iliyochezwa usiku wa August 18 ni mchezo kati ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia dhidi ya KRC Genk inayochezewa na Mbwana Samatta.
Katika mchezo huo uliyochezwa Croatia yaani katika uwanja wa nyumbani wa Lokomotiva, umemalizika kwa sare ya goli 2-2, Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilianza kupata goli la kwanza kwa mkwaju wa penati kupitia mjamaica Leon Bailey dakika ya 47 na baadae Mbwana Samatta dakika 
ya 52.


Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment