Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Mfahamu vizuri malkia wa Taarab Bi Shakila aliyefariki Aug 19…

 
Shakila Said Hamis… Jina lake lina uzito mkubwa sana kwenye muziki wa Taarab  anafahamika kama miongoni mwa wasanii waliotamba miaka kadhaa na hits single ikiwemo Kifo cha mahaba, Mapenzi yamepungua na nyinginezo.
Mnamo Auguast 19, 216 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana na taarifa ya kufariki kwa nguli huyo wa muziki wa Taarab
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment