Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Wenger kamsajilii staa wa Ujerumani


Ni good news nyingine kwa mashabiki wa soka la England hususani mashabiki wa klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha mfaransa Arsene Wenger, saa chache baada yaArsenal kukamilisha usajili wa Lucas Perez wametangaza kukamilisha usajili wa beki waUjerumani.
Arsenal wametangaza kukamilisha usajili wa Shkodran Mustafi kutokea klabu yaValencia ya HispaniaMustafi ni mchezaji wa sita kusajiliwa na Arsenal msimu huu baada ya Lucas PerezGranit XhakaRob HoldingTakuma Asano na Kelechi Nwakali.

Mustafi mwenye umri wa miaka 24 anajiunga na Arsenal akiwa ameichezea Valecniajumla ya mechi 64 katika misimu yake miwili akiwa na klabu hiyo, bado dau la usajili halijawekwa wazi ila inaaminika kuwa Wenger kaacha ubahili na kutumia karibia na pound milioni 35 ili kumpata staa huyo.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment