Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Chelsea imemsajili beki kutoka Fiorentina kwa dau la pound milioni 24

Ikiwa bado tunahesabu saa kadhaa kabla ya dirisha la usajili kufungwa barani Ulaya, baadhi ya vilabu tayari vimetangaza kukamilisha usajili wa mastaa wao, Chelsea tayari imemsajili beki kutokea Fiorentina Marcos Alonso kwa mkataba wa miaka mitano.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment