Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Je Prof. Lipumba atajiunga na ACT, Majibu yapo hapa


Ni Septermber 6, 2016 ambapo stori iliyochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Pro. Ibrahim Lipumba kujiunga kwenye chama chaACT-Wazalendo.
Sasa dreamfm.co.tz, kupitia Millardayo.com imempata afisa habari wa ACT- Wazalendo, Abdallah Hamis ameyaongea haya>>>>Mpaka muda huu viongozi wetu wapo kwenye vikao vya Chama na tumepokea SMS nyingi kwamba Pro.Lipumba ndio anajadiliwa lakini sio kweli hizo taarifa ni za uongo kitakachojadili wa tutawaambia waandishi wa habari’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Abdallah Hamis kuhusiana tetesi za Pro.Lipumba

Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment