Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Q Chillah adai kufichiwa Passport ili asisafiri, mtuhumiwa ni mtu wa karibu
Kwenye U Heard ya clouds FM leo inamuhusu staa wa bongofleva Q Chillah, kuhusiana na  staa huyo kuwa ameshindwa kusafiri kwenda Afrika kusini kwa ajili ya kwenda kurekodi na msanii mkubwa wa Nigeria kutokana na Passiport yake kuchomolewa kwenye begi na mtu wa karibu……

Passport yangu imeibiwa siku hiyohiyo ambayo mkurugenzi ananiambia tunaondoka, ni kama kuna mtu ameichomoa kwenye begi kwa sababu mimi nilimkabidhi passport  yangu kwa sababu last time tulipoenda kushoot ngoma ya sungura tuliporudi tu passport alikuwa anakaa nayo yeye lakini cha kushangaza zaidi imepatikana yake yangu haionekani
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment