Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Rooney avunja rekodi ya David Beckham


Wayne Rooney ameandika historia ya kuwa mchezaji aliyeichezea timu hiyo mara nyingi zaidi.
Ulikuwa mchezo wake wa 116 kuiwakilisha England alipocheza na Slovakia katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la mwaka 2018.
Rekodi hii inaipita ile ya David Beckham ambaye aliichezea timu ya Taifa la England mechi 115.
Mlinda mlango Peter Shilton, ndiye anaishika rekodi ya jumla kwa kuichezea England mara 125.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment