Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Kama tunanua Tuzo basi na nyinyi kanunueni: Tale

Babutale amezijibu shutuma za baadhi ya mashabiki nchini kuwa wasanii wa WCB wamekuwa wakinunua tuzo.
14448436_121427588321576_2791046422420520960_n
Akiongea na Prince Ramalove wa Kings FM, Tale alikuwa na maneno mafupi tu kuwajibu. “Kama ni rahisi na wao wakanunue,” alisema meneja huyo.

Jumamosi iliyopita Diamond na Harmonize walishinda tuzo za Afrimma zilizofanyika jijini Dallas, Marekani.
Alidai kuwa tuzo hizo ni za Tanzania nzima na imeonesha jinsi gani mashabiki wako nao pamoja. Amesisitiza kwa kuwaomba waendelee kuwapigia kura wasanii wote waliotajwa kwenye tuzo za MTV MAMA

wakiwemo wasanii wake wa WCB, Diamond na Raymond.
Wengine ni Alikiba, Navy Kenzo, Yamoto Band na Vanessa Mdee.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment