Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Ligi ya mabingwa barani Ulaya Messi na Ozil wapiga hat trick

Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 19 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi, moja kati ya michezo ilikuwa ukitazamwa na wengi ni katiki ya Barcelona ambao walikuwa nyumbani walimdhalilisha kocha wao wa zamani Pep Guardiola kwa kumpa kichapo cha 4-0, Messi akipiga hat-trick, Arsenal nao waliiadhibu Ludogorets Razgrad ya Bulgaria 6-0, wakati Mesut Ozil nae akipata hat trick.
3988b82f00000578-0-image-m-36_1476921044768
Mlinzi wa Man city Claudio Bravo akilambwa kadi nyekundu huku pia mlinzi wa Barcelona aliyeingia akitokea benchi Jeremy Mathieu naye akizawadiwa kadi nyekundu.
Matokeo ya michezo michezo yote ya Uefa
cvkl4tpw8aqtyke
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment