Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Lucas Vazquez amesaini mkataba mpya Real Madrid

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Lucas Vazquez ,25, ambaye anacheza nafasi ya winga amesaini mkataba mpya ambao utamalizika 2021.
lukazi
hqdefault
Lucas Vazquez ambaye ni raia wa Hispania amekuwa akifanya vizuri katika timu hiyo ya Real Madrid.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment