Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Nahodha wa Brazil wa kikosi kilichoshinda ubingwa wa dunia mwaka 1970, Carlos Alberto amefariki

39b41a8300000578-3871262-image-a-113_1477408640181

39b3ffb300000578-3871262-image-a-97_1477407568705
Nahodha wa zamani wa Brazil wa kikosi kilichoshinda ubingwa wa dunia mwaka 1970, Carlos Alberto amefariki dunia October 25, 2016 huku akiwa na umri wa mika 72 baada ya kupata shinikizo la moyo.
39b41a8300000578-3871262-image-a-113_1477408640181
39b3ffb300000578-3871262-image-a-97_1477407568705
39b43b0d00000578-3871262-image-a-142_1477409976798
Alifunga mojawapo ya mabao mazuri zaidi duniani katika historia ya kombe la dunia katika mechi ya fainali dhidi ya Italy mwaka 1970,baada ya kuwachenga mabeki na kufunga kupitia mkwaju mkali alishinda makombe ya nyumbani akiwa na vilabu vya Santos na Fluminense ambavyo alivichezea mechi 400.
39b43b0d00000578-3871262-image-a-142_1477409976798
Carlos Alberto atakumbukwa kwa kufunga moja ya magoli bora katika historia ya kombe la dunia, mnamo mwaka 1970.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment