Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakiongea na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi
Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Kiongozi
Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa akiongea jambo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba
13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakiongea na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi
Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakipokea mfano wa hundi ya dola za kimarekani Laki
moja kama msaada toka kwa jumuiya ya Bohora Duniani kwa ajili ya
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani kagera toka kwa Kiongozi Mkuu
wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakipokea mfano wa hundi ya dola za kimarekani Laki
moja kama msaada toka kwa Jumuiya ya Bohora Tanzania kwa ajili ya
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera toka kwa Kiongozi Mkuu
wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakipokea mfano wa hundi ya dola za kimarekani
50,000 ukiwa msaada wa Jumuiya ya Bohora Dar es salaam kwa ajili ya
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera toka kwa Kiongozi Mkuu
wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika dua na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya
Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakimshukuru Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi
Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa
Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa wakiagana na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi
Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
0 comments:
Post a Comment