Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Rapper wa Kenya, King Kaka aka Kaka Sungura akamatwa

Jumanne hii imekuwa mbaya kwa rapper wa Kenya, King Kaka aka Kaka Sungura baada ya kujikuta akiangukia mikononi mwa polisi wa mjini Nairobi.
4
Mpaka sasa bado haijajulikana chanzo cha kukamatwa kwa rapper huyo. Tazama picha zaidi hapa chini.
7
3
8
1
2
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment