Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

(Scorpion) ahamishiwa mahakama kuu

Kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion,imeondolewa katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kuhamishiwa mahakama kuu jijini Dar es salaam.
unnamed
Pichani ni mtuhumiwa Salum Njwele (scorpion) mwenye kanzu jeupe akitoka katika mahakama ya Ilala jumatano hii. 

Hatua hiyo imekuja kutokana na kuwasilishwa ombi katika mahakama hiyo na wakala wa upande wa mashtaka Munde Kalombora na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Adelf Sachore kuridhia.

Njwele anakabiliwa na shtaka la unyanga’nyi na kumjeruhi Said Ally Mrisho baadhi ya sehemu zake za mwili huku akimsababishia kijana huyo upofu.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment