Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

$175m kutumiwa na Japan kutengeneza kompyuta yenye kasi zaidi dunianiJapan inatumia takriban dola milioni 175 kutengeneza supercomputer yenye kasi zaidi duniani. Hiyo ni jitihada ya nchi hiyo kuivunja rekodi ya China.
kp
Kompyuta ya AI Bridging Cloud inatarajiwa kuwa na kasi ya 130 petaflops, kwa mujibu wa BBC. Hiyo itakuwa ni kasi zaidi ya Sunway TaihuLight ya China inayoshikilia rekodi kwa sasa ikiwa na uwezo wa 125 petaflops.
A petaflop equals a quadrillion floating point operations conducted in one second. A floating point operations, or FLOP, is a step in a calculation.
AIBC, ambayo mamlaka ya Japan zina matumaini kuwa itakamilika kabla ya mwishoni mwa mwaka ujao, itatumika katika miradi mikubwa ya kitabibu, utengenezaji wa software za magari na utengenezaji wa roboti.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment