Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Mahrez wa Algeria ndiye mchezaji pekee kutoka Afrika kuwania tuzo ya FifaMchezaji wa Algeria Riyad Mahrez na klabu ya Leicester ya Uingereza ambao ni mabingwa wa msimu uliopita, ndiye mchezaji pekee kutoka Afrika kujumuishwa katika kundi la wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani.
96243782_riyad-mahrez-sport-large_transqvzuuqpflyliwib6ntmjwfsvwez_ven7c6bhu2jjnt8
Atang’ang’ania tuzo hiyo pamoja na wachezaji kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Mshindi atatangazwa tarehe 9 mwezi Januari.
Mahrez pia amejumuisha kung’ang’ania tuzo ya mchezaji bora la Ballon D’Or pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment