Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa barani Ulaya

Ligi ya mabingwa barani Ulaya uliendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa michezo kadhaa ya mzunguuko wa tano kuchezwa katika viwanja tofauti.
3ab33ac300000578-0-image-m-6_1479937850833
Mchezaji David silva ameithibitishia klabu ya Manchester City kuingia hatua ya mtoano kwa mara nne mfululizo kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Borussia Monchengladbach.
Matokeo ya michezo mingine hii hapa
cx-k_yvwgaamfd3
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment