Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Picha: Mtanzania aibuka mshindi wa 4 kwenye shindano la mapishi dunianiMpishi mahiri wa Tanzania, Fred Uisso, ameibuka mshindi wa nne kwenye mashindano makubwa ya mapishi duniani (World Food Championship) yaliyofanyika huko Orange Beach, Alabama nchini Marekani, Nov 9 – 13.
14561994_1833237963579527_8245900161037893632_n
Fred Uisso akiwa na Mratibu wa Taifa wa WORLD FOOD CHAMPIONSHIP Bi. Julie Haunn
Mshindi wa kwanza kwenye shindano hilo alipewa zawadi ya $300,000.
15043817_1808670276042134_2811213535848169472_n
Rais na CEO wa WFC, Mike Mc Cloud akimkabidhi tuzo Fred Uisso baada ya kuibuka mshindi wa nne
15057410_1152001718211105_6273339480053121024_n
Kwenye picha hiyo juu aliyoweka Instagram, Uisso ameandika: Nikiwa na wafanyakazi wa Emirates airlines flight EK 212 from Texas to Dubai. Nilipata Heshima kubwa kwa rubani kuwatangazia abiria wote kuwa kwenye ndege hii Kuna WORLD CHEF CHAMPION NUMBER 4 na ilipigwa CHEERS na abiria wote. Tnx again Emirates airlines for a kind hospitality. Kesho jumatatu saa 9 alasiri ntatua home na Emirates. MUNGU NI MWEMA SANA.”
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment