Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

TB Joshua amtabiria Hillary Clinton kuwa Rais mpya wa Marekani

Mchungaji maarufu duniani kutoka Nigeria, Temitope Balogun Joshua maarufu kwa jina la TB Joshua amemtabiria mgombea wa Urais wa chama cha Democratic, Hillary Clinton kushinda kiti hicho.
14369083_309380242755196_83925382_n
Kupitia ukurasa wa Facebook, mchungaji huyo ameandika:
Ten days ago, I saw the new President of America with a narrow win. The new President will be facing several challenges over many issues, including: passing bills, attempts to possibly pass a vote of no confidence on the new President. The boat of the new President will be rocked. By the way, in order not to keep you in suspense, what I frankly saw is a woman.
Uchaguzi wa Marekani unatarajiwa kufanyika Jumanne hii ya Novemba 8 huku Clinton akiwania kiti hicho na Donald Trump wa Republican.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment