Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Barrow amechaguliwa kuwa Rais wa Gambia

Aliyekuwa mgombea wa chama cha upinzani kwenye uchaguzi mkuu wa nchini Gambia, Adama Barrow amechaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo.
article-doc-io0j5-24nm2lghqv65b78a447e67423b64-85_634x422
Mgombea huyo amemshinda aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh aliyeongoza Gambia kwa miaka zaidi ya 20.
Akitangaza matokeo hayo Ijumaa hii mkuu wa tume ya uchaguzi alimtangaza Barrow kushinda kwa kura 263,515 dhidi ya 212,099 alizozipata Rais Yahya.

Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment