Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Kokoro ya Rich Mavoko na Diamond yakimbiza UK

Wimbo mpya wa Rich Mavoko aliomshirikisha Diamond ‘Kokoro’ umezidi kukubalika nchini Uingereza.

Wimbo huo ulioachiwa mwezi uliopita umefanikiwa kushika namba mbili kwenye Top 5 ya Afro Boss Airlines ya kituo cha Radio cha BBC 1xtra inayoendeshwa na Dj Edu.

Chati hizo zinahusisha nyimbo za wasanii wa Afrika ambazo zinafanya vizuri. Wasanii wengine walioingia kwenye chati hiyo ni pamoja na Mr Eazi na Run Town wote kutoka Nigeria, Bobby East Zambia na Dj Shimza wa Kongo
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment