Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Leicester City kumkatia rufaa Vardy

Klabu ya Leicester City ambao ni mabigwa watetezi wa ligi ya Uingereza wanampango wakukata rufaa ya kupinga kadi nyekundu aliyopewa mshambuliajia wake Jamie Vardy katika mchezo dhidi ya Stoke City.

Vardy alionyeshwa kadi nyekundu na mwamuzi Craig Pawson, baada ya kumfanyia rafu mshambuliaji wa Stoke Mame Diouf.
Leicester inampango wa kupeleka utetezi kwa chama cha soka kuonyesha Vardy alisukumwa na hakuwa na nia ya kumfanyia rafu Mame Diof
FA inatarajiwa kuitoza faini Leicester baada ya wachezaji wake sita kuonyeshwa kadi za njano katika mchezo hu
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment