Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

maamuzi aliyo fanya mchezaji Azipilicueta wa Chelsea

Mchezaji wa Hispania ambaye anakipiga katika klabu ya Chelsea, Cesar Azipilicueta ambaye anacheza nafasi ya beki wa pembeni.

Cesar Azipilicueta akisaini mkataba mpya katika klabu ya Chelsea
Amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu katika klabu ya Chelsea utakaomfanya aendelee kuitumikia timu hiyo mpaka mwaka 2020.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment