Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Tevez: Atoa neno kwa wanao mzushia amestaafu soka

Mchezaji wa zamani wa wavilabu vya Manchester City na Manchester United, Carlos Tevez ambaye saivi ana miaka 32 amefungukia kuhusu uzushi ambao ume enea kuwa amestaafu soka.

Amesema kwamba yeye hana mpango wa kwenda kumalizia kandanda lake kule China na wanaotoa taarifa hizo ni wazushi wakubwa Tavez ambaye saivi anakipiga katika klabu ya Boca Juniors ya nchini Argentina.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment