Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Chelsea yaikandamiza Peterborough United goli 4-1Image copyrigh

Image result for CHELSEANahodha wa Chelsea John Terry alitimuliwa uwanjani dakika ya 66, baada ya kupewa kadi nyekundu, ambayo ndiyo yake ya kwanza tangu mwezi Oktoba wakati ambapo Chelsea wamewanyuka Peterborough mabao 4-1.
Chelsea waliitawala mechi hiyo licha ya kukabiliwa na mashambulizi kadha kutoka kwa Peterborough.
Terry alipewa kadi nyekundi baada ya kumchezea vibaya mshambulizi Angol.
Kutimuliwa kwa Terry ni pigo kwa Chelsea ambao wameonyesha mechi safi baada ya kushindwa na Tottenham, ambacho ni kipigo chao cha kwanza kati ya mechi 11 walizocheza.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment