Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Waliofanya harusi ya Shilingi 100 za Kenya wapata usaidizi

Wanandoa waliofanya harusi ya shilingi za kenya 100
Wanandoa wawili ambao taarifa yao ya harusi isio na gharama iliwavutia wengi katika mtandao sasa watagharamiwa fungate ya harusi hiyo.
Wilson mwenye umri wa miaka 26 na Ann Wambui mwenye umri wa miaka 24 alitumia shilingi za Kenya 100 kununua pete mbili mbali na kuvaa tishati za sherehe hiyo.
Hawakuwa na sherehe yoyote baadayae.
''Tulienda nyumbani, tukapika ugali na sukuma wiki tukala na kulala'.Hakukuwa na kitu chochote maalum ambapo tungefanya kama fungate yetu'', kulingana na eDaily News.
Kiongozi wa dini ambaye alihalalisha ndoa hiyo alisambaza habari yao katika mtandao wa facebook kabla ya kuchukuliwa na vyombo vya habari.
Mwakilishi wa kampuni ya Bonfire Adventure alikutana na wanandoa hao.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment