Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Alichosema Nape Nnauye asubuhi hii


Baada ya jana Nape Nnauye kuzungumza na waandishi wa habari akiwa juu ya gari kufuatia mkutano wake aliokuwa ameuandaa kuzuiliwa usifanyike. Mkutano huo ulipangwa kufanyika ikiwa ni baada ya taarifa kutoka IKULU zilizotangaza kuvuliwwa uwaziri, sasa leo asubuhi kupitia accpout yake ya twitter Nape Nnauye ameyaandika haya…
Wanahabari mme GUSA sana moyo wangu!Sikujua kama mnanipenda na kunithamini kiasi KILE!Nawashukuru SANA kwa kujitolea kwenu!Nawapenda SANA!’
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment