Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Kimetajwa kiwango cha mbegu za maharage kinachohitajika na wakulima Tanzania

Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti Selian umebaini kuwa ili kukabiliana na uhaba wa mbegu za maharage nchini zinahitajika tani 125 za mbegu za maharage kwa wakulima.
Dream fm imemtafuta Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara ya Mbegu Tanzania Bob Shuma na moja ya mambo aliyozungumzia ni pamoja na hali ya mbegu ya maharage nchini.
“Kituo hiki kimefanya utafiti na kuona kwamba mahitaji ya mbegu ya maharage katika nchi ni kama tani 125. Na tani hizi kati yake ambazo zimekuwa zinatumika na wakulima ni kama tani 51,812. Hivyo kuna upungufu wa mbegu bora kuwafikia wakulima kulingana na mahitaji yao.” – Bob Shuma.
SOURCE MILLARD AYO.COM
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment