Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI NCHINI SIMON SIRRO.

SeeBait
Rais John Magufuli amemuapisha mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro aliyeteuliwa jana kuchukua nafasi ya Ernest Mangu.

Hafla hiyo imehudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri wa Mambo ya Ndani , Mwigulu Nchemba na makamishna mbalimbali wa jeshi hilo.
 
Sirro baada ya kuapishwa amekula kiapo cha maadili mbele ya Rais Magufuli kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake mapya.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment