Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

INTER COLLEGE 2017 TEKU WASHINDWA KUTAMBA KWENYE KIWANJA CHA NYUMBANI DHIDI YA MUST

Mashindano ya Inter College Festival 2017 yanayoshirikisha vyuo kadhaa Jijini Mbeya, yameendelea katika kiwanja cha TEKU yakivikutanisha vyuo Viwili TEKU na MUST kwa upande wa Mpira wa miguu na mpira wa pete.

TEKU walishindwa kutamba katika viwanja vyao vya nyumbani, baada ya kutoka Sare ya bao 1 kwa 1 na MUST kwa upande wa Mpira wa miguu na kwa upande wa wanawake TEKU waliambulia kichapo cha magoli 16 kwa 11

Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment