Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Chuo cha T.I.A chaandika historia mpya Dream Inter College Festival 2017

Mashindano ya ream Inter College Festival 2017 yamemalizika hapa jijini Mbeya tarehe 8 Dec 2017 yakizikutanisha timu mbili kutoka chuo cha SAUT NA T.I.A, mchezo huo wa fainali uliovuta hisia za watu wengi wakiwemo wanakijiji waliokuja kuutazama mtanange huo ambao timu ya T.I.A waliibuka kidedea baada ya kuwatumbua wapinzani wa SAUT bila huruma bao moja kwa bila
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment