Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Chuo cha Utumishi, Tumaini makumira na CBE Wayaaga mashindano ya Dream Inter College

Mashindano ya Dream Inter college Festival yameendelea kurindima katika viwanja vinne tofauti safari hii ikiwa katika hatua ya mtoano, Timu ya Mzumbe imefanikiwa kusonga mbele baada ya kuifunga Utumishi jumla ya mabao 4-1, Tumaini nao wametolewa na chuo cha T.I.A kwa magoli 2-1, CBE nao waliyaaga mashindano hayo yanayovuta hisia za watazamaji wengi baada ya kutolewa na SAUT kwa jumla ya maba 4-3

Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment