Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Ni T.I.A na SAUT Fainali za Dream Inter college Festival 2017

Mashinda ya Dream Inter College 2017 yameendelea katika hatua ya Nusu fainali huku T.I.A na SAUT wakikata tiketi ya kushiriki fainali zitakazopigwa tarehe 8/12/2017 katika viwanja chuo cha TEKU,  T.I.A wamefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwagaragaza chuo cha TEKU wakiwa nyumbani kwao kwa 1 baada ya kupigwa kona ambayo ilizaa goli hilo, 

TEKU walionyeshe kutawala mpira na kukosa nafasi nyingi za wazi ambazo wanazijutia, 

kwa upande wa ndugu zao Mzumbe ambao waliondolewa  na chuo cha SAUT kwa kufungwa goli moja dakika za lala salama.Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment