Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

Watanzania tukatae kugawanywa – Mhe. Edward Lowassa

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa amewataka Watanzania mwaka 2018 wakatae kugawanywa kwa namna yoyote ile.

Mhe. Lowassa kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema hayo na kuwatakia Watanzania kheri ya mwaka mpya wa 2018.
Tunapouanza mwaka huu mpya niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile.“ameandika Mhe. Lowassa na kuwatakia Watanzania kheri ya mwaka mpya “Umoja na mshikamano ndio nguzo yetu. Nawatakia Heri na Fanaka ya mwaka mpya 2018.
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment