Hamia kwako na Watumishi Housing Company, Tanzania

“Tuna mktaba na Mungu” Steve Nyerere

Staa kutokea kwenye Bongo Movie Steve Nyerere ameamua kuandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa instagram na kuwakumbusha watu kumkumbuka Mungu ikiwa ni siku 28 zimepita toka msiba wa King Majuto utokee August 07,2018.
Ikiwa Steve Nyerere amezoeleka kuwa ni kiongozi wa kujitolea katika shughuli mbalimbali za kijamii kama misiba ameamua kutoa ushauri na kusema kuwa maskini wanapendwa kusikilizwa hata kama utakataa jambo lao.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Steve Nyerere ameandika “Tupo kwenye mapito ya kidunia sana,tunaishi kama tuna mkataba na Mungu hatuna hofu na Mungu,Tunasahau muda wa kuishi duniani ni mchache sana”
“Tunasahau muda wa ufufuo wa milele inategemea na yale mazuri uliyoyafanya ukiwa hai,FEDHA,CHEO ,USTAAA ,Vyote mapito POKEA SIKILIZA KATAAA MASKINI ANAPENDWA KUSIKILIZWA HATA KAMA UTAKATAA JAMBO LAKE”

MAAJABU YA KINYONGA “Huonekana zaidi wakati wa Usiku’
Share on Google Plus

About Ngoma Kali Tz

0 comments:

Post a Comment